MASHABIKI WA SIMBA WAWACHEKA YANGA KUFUNGWA NA WAARABU

Mashabiki wa Simba SC wakieleza sababu ya Yanga SC kupoteza magoli 2-1 dhidi ya Pyramids FC.