Diamond afungua milango kwa Ali Kiba, Harmonize

#WasafiFestival #AliKiba #Harmonize #DiamondPlatnumz #WasafiMedia
Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, Naseeb Abdul “Diamond Plutnumz” amewakaribisha wanamuziki Harmonize na Ali Kiba katika Tamasha la Wasafi linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni