"SIWEZI KUMKEJELI RAIS, WAMECHUKUA SIMU YANGU, NIMEATHIRIKA SANA" – IDRIS

“SIWEZI KUMKEJELI RAIS, WAMECHUKUA SIMU YANGU, NIMEATHIRIKA SANA” – IDRIS

Mchekeshaji, Idriss Sultan, leo Novemba 14, amezungumza na waandishi wa habari na kumuomba radhi Rais Magufuli, kufuatia picha aliyoipost siku ya kuzaliwa kwa Rais na kumtakia maisha mema..

Idriss ambaye baada ya Post hiyo, aliripoti polisi kwa agizo la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na kwa sasa anaendelea na kesi, amefafanua alichokuwa akimaanisha kwenye picha hizo mbili…

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
—————————————————————————————————————-
HABARI MPYA DAILY:
https://www.youtube.com/playlist?list…

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list…

GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list…

EXCLUSIVE INTERVIEW:
https://www.youtube.com/playlist?li