LULU Afunguka "Siwezi kumuongelea mtu, duniani hakuna usawa"

Elizabeth Michael Afunguka “Siwezi kumuongelea mtu, duniani hakuna usawa”

Elizabeth Michael amefunguka na kusema kuwa hawezi kumzungumzia mtu ambaye hajatokea katika hafla ambayo imewakutanisah wasanii mbalimbali ambao waliitwa na waziri wa sanaa kuzungumza nao.
Ambapo katika mkutano huo Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema kama wasanii wataridhia BASATA, COSOTA NA Bodi ya Filamu Nchini kuunganishwa itachangia kuepusha migongano ya Kisheria ambayo inaweza kujitokeza katika Tasnia ya Habari.

#LULU#MWAKYEMBE

//www.youtube.com/playlist?list… https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f… Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global A

  • Views:4,158 views
  • Categories: News